Probo wa Ravenna

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Probo wa Ravenna (alifariki Ravenna, katika Italia ya leo, karne ya 3 au ya 4) alikuwa askofu wa sita wa mji huo.

Kwa heshima yake askofu Masimiano wa Ravenna alitabaruku basilika maarufu la Classe [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Novemba[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads