Proklo na Hilarioni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Proklo na Hilarioni (walifariki Ankara, Galatia, leo nchini Uturuki, mwanzoni mwa karne ya 2) walikuwa ndugu Wakristo ambao waliuawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Traian[1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads