Pusisi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Pusisi (alifariki nchini Uajemi, 341) ni kati ya Wakristo elfu kadhaa, waliouawa kwa sababu ya imani yao katika dhuluma ya mfalme Sabor II pamoja na Patriarki Simeoni[1].
Pusisi, afisa wa ikulu, alichomwa shingo kwa upanga siku ya Jumamosi Kuu kwa sababu ya kumtia moyo padri Anania asiasi Ukristo kama alivyoelekea kufanya[2][3].
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads