Mpea

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mpea
Remove ads

Mipea au mipeasi ni miti midogo wa jenasi Pyrus katika familia Rosaceae. Matunda yao huitwa mapea. Jina "mpea" hutumika kwa Persea americana pia lakini afadali jina "mparachichi" litumike kwa mti huu. Asili ya mipea ni kanda ya kaskazini ya wastani na nusutropiki kutoka Ulaya ya Magharibi na Afrika ya Kaskazini mpaka Asia ya Mashariki. Spishi mbalimbali zinapandwa katika maeneo ya hewa ifaayo ili kuvuna matunda yao. Nyingine zinapandwa katika bustani.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Remove ads

Spishi

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads