Radim
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Radim (kutoka Kicheki; kwa Kipolandi Radzim; jina la kitawa: Gaudencius[1], Gaudentius[2]; Libice, leo nchini Ucheki 970 hivi – Gniezno, leo nchini Polandi, 14 Oktoba 1020 hivi) alikuwa askofu mkuu wa kwanza wa Polandi[3], akiwa na makao makuu huko Gniezno tangu mwaka 1000.

Kabla ya hapo alikuwa amemfuata kaka yake, Adalberto wa Praha, katika monasteri na katika umisionari kwa Waprusia, akashuhudia alivyochomwa kwa mikuki na Wapagani kadhaa, naye mwenyewe alifungwa gerezani [4].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads