Rafaeli Kalinowski
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rafaeli Kalinowski, O.C.D. (Vilnius, leo nchini Lituanya, 1 Septemba 1835 – Wadowice, leo nchini Polandi, 15 Novemba 1907) alikuwa kwanza askari aliyepigania uhuru wa Polandi hata akakamatwa na wakoloni Warusi akapelekwa uhamishoni Siberia, alipopatwa na tabu nyingi [1].

Halafu hadi kifo chake alijiunga na shirika la Wakarmeli Peku, alilolistawisha sana kama padri maarufu kwa uongozi wa kiroho wa Wakatoliki na Waorthodoksi sawia[2].
Tangu kale aliheshimiwa na waumini na hatimaye Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Juni 1983 na mtakatifu tarehe 17 Novemba 1991[3].
Remove ads
Maandishi
- Carmelite Chronicles of the monasteries and convents of Vilnius, Warsaw, Leopolis, and Kraków
- Translated into Polish the autobiography of St. Therese of Lisieux, The Story of a Soul
- Wrote biography of Hermann Cohen (Carmelite) (a famous Jewish pianist, who had converted to the Carmelite Order and become "Father Augustine Mary of the Blessed Sacrament")
- Kalinowski, Rafal, Czesc Matki Bozej w Karmelu Polskim, in Ksiega Pamiatkowa Marianska, Lwów-Warszawa 1905, vol. 1, part II, pp 403–421
- Kalinowski, J. Wspomnienia 1805-1887 (Memoirs 1805–1887), ed. R. Bender, Lublin 1965
- Kalinowski, Jozef, Listy (Letters), ed. Czeslaus Gil, vol. I, Lublin 1978, vol II, Kraków 1986-1987
- Kalinowski, Rafal, Swietymi badzcie. Konferencje i teksty ascetyczne, ed. Czeslaus Gil, Kraków 1987
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads