Red Valentine
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Red Valentine ni filamu ya mwaka 2008[1] iliyotayarishwa na kutengenezwa na Mtitu G. Game.
Ni filamu inayomzungumzia Nicholaus akimshutumu mke wake Vivian kwa kushidwa kupata mimba wakati huo huo yeye hataki kwenda hospitali kugundua chanzo ni nini. wakai huo huo kimada ambaye n mwanafunzi wake ambaye ni Victoria anapata ujauzito lakini ujauzito huo sio wa Nicholaus kama alivyo dhani[2], matukio yote hayo yanapelekea kuvunjika kwa mapenzi na hofu kubwa ya mimba hivyo kusababisha misukosuko katika familia.[3] Filamu hii iliongozwa na Mwongozaji Mtitu G. Game na kuandikwa na Elizabeth Chijumba.
Remove ads
Washiriki
- Steven Kanumba kama Nicholaus
- Wema Sepetu kama Vivian
- Jacqueline Wolper kama Victoria[1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads