Reinilde, Grimoaldi na Gondolfi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Reinilde (pia: Reinhild, Rainelde n.k.; Condacum, leo Kontich, nchini Ubelgiji, 630 hivi; Saintes[1], Hainault, leo nchini Ubelgiji, 700 hivi) alikuwa bikira wa ukoo wa kifalme, mtoto wa Amalberga wa Maubeuge, na dada wa Gudula na Emebati, ambao wote watatu wanaheshimiwa kama watakatifu.

Baada ya kuhiji Yerusalemu[2] alijitosa katika matendo ya huruma[3] hadi alipokatwa kichwa na Wahunni pamoja na shemasi Grimoaldi na mtumishi wake Gondolfi[4].
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads