Remigius wa Rouen

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remigius wa Rouen
Remove ads

Remigius au Remedius wa Rouen (alifariki 771) alikuwa mwanaharamu wa Karolo Nyundo, waziri mkuu wa Wafaranki, akawa askofu mkuu wa Rouen, leo nchini Ufaransa, kuanzia mwaka 755.

Thumb
Mt. Remigius wa Rouen.

Ndugu wa mfalme Pipino, alifanya bidii ili Zaburi ziimbwe kwa kufuata desturi ya Kanisa la Roma na alichangia sana kueneza liturujia ya Roma badala ya ile asili ya Galia [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Januari[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads