Romano Adame
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Romano Adame (jina kamili kwa Kihispania Román Adame Rosales; Teocaltiche, Jalisco, Mexico, 27 Februari 1859 - Nochistlan, Zacatecas, 21 Aprili 1927) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipoteswa na hatimaye kuuawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero kwa sababu alimkiri Kristo Mfalme[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[2]:
Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei ila ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads