Romano wa Condat
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Romano wa Condat (390 - 463) alikuwa mmonaki nchini Ufaransa aliyekwenda kuishi msituni akapatikana tu miaka michache baadaye. Hapo akaanza kupata wafuasi akawa abati mwanzilishi wa monasteri ya Condat mbali ya kuanzisha nyingine mbili za kiume na nyingine ya kike pamoja na mdogo wake Lupisino wa Condat na dada yao[1].

Mwaka 444 alipewa upadirisho na Hilari wa Arles.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[2].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Februari[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads