Romulo wa Bourges
padri ambaye aliiinjilisha eneo la Bourges, katikati ya Ufaransa wa leo, akaanzisha monasteri wa Saint-Satur akawa abati wake From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Romulo wa Bourges (kwa Kifaransa: Romble; aliishi karne ya 5) alikuwa padri ambaye aliiinjilisha eneo la Bourges, katikati ya Ufaransa wa leo, akaanzisha monasteri wa Saint-Satur akawa abati wake[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads