Rosalia Bikira
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rosalia (kwa Kisisili Rusulia; 1130–1166) alikuwa bikira wa ukoo maarufu wa Palermo, mji mkuu wa kisiwa cha Sicilia, leo mkoa wa Italia.


Alikwenda kuishi kama mkaapweke katika pango juu ya Mlima Pellegrino hadi kifo chake[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[3].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Septemba[4].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads