Salha Israel

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Salha Israel ni mwanamitindo na mwigizaji wa filamu nchini Tanzania (bongo movies).[1].

Alivishwa taji la Miss Tanzania mwaka 2011/2012 mara baada ya kuwabwaga wenzake 29[2] na kujinyakulia zawadi nono yenye thamani ya Shilingi za Kitanzania milioni themanini kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar-es-Salaam.[3]

Kazi yake

Alikuwa miss Tanzania mwaka 2011/2012 na kufanikiwa kuingia thelathini bora katika mashindano ya urembo (beuty with purpose) na hatimaye kujikita kwenye tasnia ya uigizaji mara baada ya msimu wake wa urembo kuisha.[4].

Filamu alizowahi kuigiza

Kupitia kampuni ya "RJ Company", alifanikiwa kuigiza filamu yake ya kwanza iitwayo Bad luck.[5].

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads