Sona Jobarteh
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sona Jobarteh (alizaliwa 1983 [1]) ni mwimbaji na mtunzi wa Uingereza mwenye asili ya Gambia.

Anatoka katika moja ya familia kuu tano za griot za kora za Afrika Magharibi, na ni mchezaji wa kwanza wa kike wa kora [1] [2] kutoka katika familia ya griot.
Ni binamu wa mchezaji maarufu wa kora Toumani Diabate, na ni dada yake mchezaji wa kora Tunde Jegede . [3]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads