Still I Rise

From Wikipedia, the free encyclopedia

Still I Rise
Remove ads

Still I Rise ni albamu ya 2Pac na kundi lake la The Outlawz ukiondoa mwanachama Hussein Fatal. Fatal ameondoka kundini kwa sababu Outlawz wengine wameingia mkataba na Death Row baada ya Tupac kusema siyo lazima kuingia mkataba na Amaru Records; Napoleon baadaye alifuata. Albamu ina maujanja ambayo awali hayakutolewa na nyimbo nyingine kali za 2Pac. Ilitolewa mnamo tar. 21 Desemba 1999, na Interscope Records, chini ya studio ya Death Row. Albamu ilitunukiwa platinamu mara mbili na RIAA kwa kuuza nakala milioni 2.5.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Imerekodiwa ...
Remove ads

Orodha ya Nyimbo

Maelezo zaidi #, Jina ...
Remove ads

Chati

Albamu

Maelezo zaidi Chati (1999), Nafasi ...

Single

Maelezo zaidi Mwaka, Wimbo ...

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads