Sturmi wa Fulda
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sturmi wa Fulda (Lorch, Austria, 705 hivi - Fulda, Ujerumani, 17 Desemba 779) alikuwa mmonaki Mbenedikto ambaye, baada ya kipindi cha umisionari kati ya Wasaksoni na kisha kupata upadrisho, alitumwa na askofu Bonifas mfiadini kuanzisha monasteri ya Fulda (744/747), akawa abati wake wa kwanza hadi kifo chake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na wengineo kama mtakatifu. Mwaka 1139 Papa Inosenti II alithibitisha heshima hiyo.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads