Tarcisius Ngalalekumtwa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarcisius Ngalalekumtwa (amezaliwa 25 Oktoba 1948) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.
Aliwekwa wakfu na Papa Yohane Paulo II mwaka wa 1989 kama askofu mwandamizi wa Jimbo Katoliki la Sumbawanga.
Tangu tarehe 21 Novemba 1992 hadi tarehe 28 Januari 2025[1] alikuwa askofu wa Jimbo la Iringa.
Alipata kuwa rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (2012-2018).
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads