Tasak

From Wikipedia, the free encyclopedia

Tasak
Remove ads

Tasak (kwa Kilatini: Assicus; Ireland, karne ya 6 - Racoon, Ireland, 590 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa Elphin, anaposemekana aliwekwa na Patrick aliyemuongoa kumuamini Yesu [1][2].

Thumb
Mt. Tasak katika dirisha la kioo cha rangi.
Thumb
Mt. Tasak akimfanyia ibada Mt. Patrick kufani.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, heshima iliyothibitishwa na Papa Leo XIII tarehe 19 Juni 1902.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Aprili[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads