Tekle Haymanot
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tekle Haymanot au Takla Haymanot (kwa Kige'ez ተክለ ሃይማኖት takla hāymānōt, kwa Kiamhara tekle hāymānōt, "Mti wa Imani"; Bulga, Shewa, 1215 hivi - Debre Libanos, 1313 hivi) alikuwa mmonaki wa Ethiopia aliyeanzisha monasteri muhimu (Debre Libanos) katika mkoa wake asili, Shewa[4].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na Waorthodoksi wa Mashariki lakini pia na Wakatoliki[5]
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Agosti, lakini katika Kalenda ya Kiethiopia tarehe 24 ya kila mwezi ni kwa heshima ya Tekle Haymanot.[6]
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads