Teodoriko wa Reims
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Teodoriko wa Reims (alifariki karibu na Reims, Ufaransa, 1 Julai 533) alikuwa padri halafu mkaapweke aliyeanzisha monasteri [1] iliyovutia wengi, akiwemo baba yake aliyekuwa jambazi.

Hayo yote ni baada ya kumuacha mke wake kwa kuwa alikataa kuishi naye kama kaka na dada tu na kwa kufuata shauri la askofu Remi[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3][4].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads