Teresa wa Yesu wa Los Andes
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Teresa wa Yesu, O.C.D. (Santiago, Chile, 13 Julai 1900 - Los Andes, Valparaiso, Chile, 12 Aprili 1920) ni jina la kitawa la Juana Fernandez Solar, bikira, mnovisi wa Wakarmeli Peku[1].

Akifuata njia ya udogo iliyoelekezwa na somo wake, Teresa wa Mtoto Yesu, alipiga hatua kubwa kwa muda mfupi[2][3].
Akiwa na umri wa miaka 20 alijitoa mhanga kwa Mungu afe kwa ajili ya ulimwengu wenye dhambi akafariki kwa ugonjwa wa taifodi.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 3 Aprili 1987 halafu mtakatifu tarehe 21 Machi 1993.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads