Theodori wa Tabennese
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Theodori wa Tabennese (314 hivi - 27 Aprili 367) alikuwa mwandamizi wa kiroho wa Pakomi na alizuia shirikisho la kwanza la monasteri ya Kikristo lisiishe na kifo cha huyo mwanzilishi wake[1][2].
Zimebaki hotuba zake kadhaa katika maandishi ya wafuasi wake.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa siku ya kifo chake[3] au tarehe 16 Mei, siku inayofuata sikukuu ya Pakomi[4].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads