Torpesi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Torpesi
Remove ads

Torpesi (pia: Torpetius, Tropesius, Torpès, Tropez, Torpete, Torpes, Torpè; labda alifia imani Pisa, Italia, mwaka 65 hivi[1][1] ) alikuwa kati ya Wakristo wa kwanza huko Toscana[2][3].

Thumb
Ngao ya Saint-Tropez, mji wa Ufaransa wenye jina la Mt. Torpesi.

Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Aprili[4].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads