Viatori wa Lyon

From Wikipedia, the free encyclopedia

Viatori wa Lyon
Remove ads

Viatori wa Lyon (alifariki Skete, 390 hivi) alikuwa msomaji wa mji huo, leo nchini Ufaransa, ambaye miaka yake ya mwisho alimfuata askofu wake Yusto wa Lyon kwenda kuishi jangwani na wamonaki wa Misri[1][2][3].

Thumb
Mt. Viatori wa Lyon.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Oktoba[4].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads