Yusto wa Lyon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yusto wa Lyon (alifariki Skete, 390 hivi) alikuwa askofu mkuu wa 13 wa mji huo, leo nchini Ufaransa, tangu mwaka 350 hivi[1][2][3], lakini baada ya Mtaguso wa Akwileia alikwenda pamoja na msomaji Viatori kuishi kwa unyenyekevu miaka yake ya mwisho huko jangwani na wamonaki wa Misri[4][5][6].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu na masalia yake na ya Viatori yalirudishwa Lyon.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Septemba[7].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads