Wamahanji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wamahanji ni kabila la watu kutoka wilaya ya Makete, katika milima ya Kipengere ya Mkoa wa Njombe, sehemu ya kusini ya nchi Tanzania.[1]
Mwaka 2012 idadi ya Wamahanji ilikadiriwa kuwa 10,000. Lugha yao ni Kimahanji.
Wamahanji ni majirani kabisa wa kabila la Wakinga. Asilimia kubwa ya Wamahanji wapo sehemu za vijiji saba vya kata ya Kipagalo na tarafa ya Bulongwa, wilaya ya Makete.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads