DJ Khaled
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Daverneius Jaimes (DJ) Khaled[1] (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama DJ Khaled[1]; amezaliwa New Orleans, Louisiana, 26 Novemba 1975) ni Mpalestina-Mmrekani wa kwanza kusikika kushirikiana na msanii Lil Wayne na Birdman kutoka katika single ya Way Of Life.[1] Huyu bwana ni DJ, mtayarishaji wa muziki na ni mtangazaji wa redio katika kituo cha redio ya WEDR.[2] Pia ni mwanachama wa kikundi cha muziki wa hip hop-Terror Squad, na amejisajili na Terror Squad Entertainment na Koch Records.[3]
Remove ads
Muziki
Albamu za studio
- We Global
- Imetolewa: 16 Septemba 2008
- Nafasi iliyoshika: TBR
- Mauzo ya U.S: TBR
- Victory (2010)
- We the Best Forever (2011)
- Kiss the Ring (2012)
- Suffering from Success (2013)
- I Changed a Lot (2015)
- Major Key (2016)
- Grateful (2017)
- Father of Asahd (2019)
Single zake
Remove ads
Matayarisho yake
Akiwa kama mtayarishaji, DJ Khaled anatumia jina la Beat Novacaine. Ametayarisha nyimbo zifuatazo:
- Fabolous – "Gangsta"
- DJ Khaled – "Problem" (akishirikiana na Beanie Sigel & Jadakiss)
- DJ Khaled – "Before The Solution" (akishirikiana na Beanie Sigel & Pooh Bear)
- Rick Ross – "I'm a G" (akishirikiana na Brisco & Lil Wayne)
- Fat Joe – "The Profit" (akishirikiana na Lil Wayne)
- Fat Joe - "Get It for Life" (akishirikiana na DJ Khaled & Pooh Bear)
- DJ Khaled – "Intro (We the Best)" (akishirikiana na Rick Ross)
- DJ Khaled – "Intro (Listennn... the Album)"
- DJ Khaled – "Where You At?" (akishirikiana na Freeway & Clipse)
- DJ Khaled - "Crack Brothers" (akishirikiana na Ghostface Killah, Fat Joe & Memphis Bleek)
Remove ads
Filamu
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads