William Courtet

From Wikipedia, the free encyclopedia

William Courtet
Remove ads

William Courtet, O.P. (Serignan, 1590 29 Septemba 1637) alikuwa padri mmisionari kutoka Ufaransa na mmojawapo kati ya Wakristo wa Kanisa Katoliki waliofia dini nchini Japani.

Thumb
Kifodini chake.
Thumb
Mchoro wa Kijapani ukiwaonyesha Wafiadini wa Nagasaki, karne ya 16 na ya 17.

Baada ya kufungwa gerezani kwa ajili ya Kristo zaidi ya mwaka mzima, alisulubiwa akakatwa kichwa.

Anaheshimiwa kama mtakatifu pamoja na Lorenzo Ruiz na wenzao waliotangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa wenye heri tarehe 18 Februari 1981 halafu watakatifu tarehe 18 Oktoba 1987.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 28 Septemba[1].

Mbali ya Lorenzo Ruiz, waliouawa pamoja naye ni: Mikaeli wa Aozaraza, Vinsenti Shiwozuka na Lazaro wa Kyoto[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads