Yakobo wa Nisibi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yakobo wa Nisibi (alifariki Nusaybin, leo nchini Uturuki, 338) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo, akiongoza kwa amani kundi lake, akililisha na kulilinda dhidi ya maadui wa imani, kuanzia mwaka 309 hadi kifo chake, [1].

Alijenga kanisa kuu, alikuwa kiongozi wa kiroho wa Efrem wa Syria na alishiriki Mtaguso wa kwanza wa Nisea (325).
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads