Yohane Rigby
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yohane Rigby (Eccleston, Lancashire, 1570 hivi – London, 21 Juni 1600) alikuwa Mkristo wa Uingereza ambaye, baada ya kulelewa katika Ushirika wa Anglikana alijiunga na Kanisa Katoliki.

Kwa sababu hiyo miaka miwili baadaye, chini ya malkia Elizabeti I alinyongwa na kuchanwa utumbo akiwa bado hai[1][2][3][4].
Alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenyeheri tarehe 15 Desemba 1929, halafu na Papa Paulo VI kuwa mtakatifu mfiadini tarehe 25 Oktoba 1970.
Sikukuu yake ni tarehe 21 Juni kufuatana na kalenda rasmi ya Kanisa Katoliki[5].
Remove ads
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads