From Wikipedia, the free encyclopedia
Heming (Balinge, Uswidi, 1290 – Turku, Ufini, 21 Mei 1366) alikuwa askofu mmisionari[1] kutoka Uppsala[2] kuanzia mwaka 1338 hadi kifo chake, aking'aa kwa juhudi za kichungaji: aliupyaisha sheria za jimbo lake kupitia sinodi aliyoiendesha, alihamasisha masomo kwa waklero, aliboresha ibada na kujenga amani kati ya watu [3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.