Agape na Kionia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Agape na Kionia (walifariki Thesalonike, Ugiriki, 304) walikuwa akina dada mabikira Wakristo ambao kutokana na imani yao walikataa kula nyama iliyotolewa sadaka kwa miungu. Kwa ajili hiyo waliteswa wakauawa kwa kuchomwa moto wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].
Pengine anatajwa pamoja nao ndugu yao Irene aliyeuawa siku chache baadaye[2]. Labda walitokea Aquileia (Italia)[3][4].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads