Agnes wa Poitiers
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Agnes wa Poitiers (alifariki 586) alikuwa mwanamke wa Ufaransa ambaye alilelewa katika ikulu akawa kipenzi wa malkia Radegunda, aliyeanzisha chini ya kanuni ya Sesari wa Arles abasia huko Poitiers mwaka 557[1][2][3]. Agnes alijiunga nayo na kwa baraka ya Jermano wa Paris akawa abesi wake akaiongoza kwa upendo mkubwa hadi alipofariki dunia[4][5][6][7][8][9].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads