Aldelmo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Aldelmo, O.S.B. (pia: Ealdhelm, Aldhelmus, Althelmus, Adelelmus; Wessex, Uingereza, 639 hivi -Doulting, Somerset, Uingereza, 25 Mei 709) alikuwa mmonaki aliyepata kuwa abati wa monasteri wa Malmesbury kwa miaka 30 halafu (705) pia askofu wa kwanza wa Sherborne[1].

Mtoto wa ukoo wa kifalme[2], alipata elimu kubwa kutoka kwa Adriani wa Canterbury akatunga vitabu mbalimbali[3] na hata mashairi ya Kilatini[4].
Alisaidia kupatanisha Wakristo wa Kiselti na wale wa Kanisa la Kilatini
Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi tangu zamani kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Maandishi yake na tafsiri
Vyanzo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads