Benedikto wa Avignon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Benedikto wa Avignon (pia: Bénézet, Benedict, Benezet, Benet, Benoît; Hermillon, Savoy, 1163 hivi - 1184) alikuwa mvulana aliyefanya kazi ya kuchunga katika maeneo ya Ufaransa Kusini Mashariki wa leo.

Kwa msaada wa Mungu aliwezesha ujenzi wa daraja muhimu juu ya mto Rhone huko Avignon[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Marejeo ya Kiswahili
- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 129-130
Marejeo ya lugha nyingine
- (Kiitalia) Pierre Péano, in G. Pelliccia e G, Rocca (curr.), Dizionario degli Istituti di Perfezione (DIP), vol. IV (1977), coll. 1359-1360.
Viungo vya nje
- (Kiingereza) Saints of April 14: Bénézet
- (Kiingereza) Bénézet
- (Kifaransa) L'histoire du Pont St Bénezet Ilihifadhiwa 17 Mei 2013 kwenye Wayback Machine.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads