Birinus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Birinus (pia: Birin, Berin; 600 hivi – 649) alikuwa mmonaki Mfaranki aliyetumwa na Papa Honori I huko Britania akafanywa askofu wa kwanza wa Dorchester[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na kuitwa "mtume wa Wasaksoni wa Magharibi" kutokana na juhudi zake za kueneza kati yao ujumbe wa wokovu hata akafaulu kuingiza ufalme wa Wessex katika Ukristo [2].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Desemba[3] au 4 Septemba.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads