Bweha

From Wikipedia, the free encyclopedia

Bweha
Remove ads

Bweha au mbweha ni mojawapo wa wanyama wadogo kiasi wa familia Canidae wanaopatikana Afrika, Amerika, Asia na Ulaya na walioainishwa katika jenasi Canis, Cerdocyon, Lupulella, Lycalopex, Otocyon, Urocyon na Vulpes.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...

Spishi mbili za jenasi Canis, ambazo ziliitwa bweha zamani, zina mnasaba sana na mbwa-mwitu. Kwa ukweli, siku hizi Canis anthus na Canis aureus zinafikiriwa kuwa mbwa-mwitu[1][2], lakini kwa sasa jina "bweha" litadumishwa kwa sababu linatumika sana.

Remove ads

Usasi (Uwindaji) wa bweha

Kwa muda mrefu, usasi wa bweha umeonekana kwamba umejikita mizizi tu kwa Waingereza ambako wao huchukua mbwa na farasi na kwenda huku wakiwawinda bweha. Usasi wa bweha haukuwa maarufu kwenye nchi nyingine za Ulaya. Waingereza waliasilisha desturi hii katika nchi za himaya yao na siku hizi hata Waafrika huwawinda bweha.

Mbwa wawinda-bweha huweza kutumia hisia na kuwawinda bweha wekundu. Tendo hili la kuwawinda bweha limezua hisia tofauti huku wengi wakiliona kana kwamba lamfanya bweha awe matatani kulingana na hariri la Wild Hunter Club Ilihifadhiwa 13 Novemba 2017 kwenye Wayback Machine..

Remove ads

Spishi za Afrika

Remove ads

Spishi za mabara mengine

Picha

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads