Delta (jimbo)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jimbo la Delta ni jimbo la Nigeria kusini. Iko kwenye eneo la delta ya mto Niger. 1991 ilianzishwa kutokana na jimbo la awali la Bendel. Mji mkuu ni Asaba lakini mji mkubwa jimboni ni Warri.
Delta ni eneo lenye mafuta ya petroli lakini utajiri wake haujafika kwa wananchi bali mapato ya mafuta yalitumiwa hasa na serikali kuu kwa mambo ya kitaifa na pia ufisafi.
Hivyo Delta ya mto Niger imeona umgomvi mwingi kwa sababu wenyeji hawaridhiki tena.
Remove ads
Utawala
Delta ina wilaya 25 zinazoitwa "Local Government Areas".
|
|
Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Delta (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads