Federal Capital Territory, Nigeria
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Federal Capital Territory ni eneo la mji wa Abuja, mji mkuu wa Nigeria.

Ilianzishwa mwaka wa 1976 kutokana na maeneo ya zamani ya Nasarawa, Niger, na Jimbo la Kogi.
Ipo katikati ya kanda ya nchi.
Kisheria ni tofauti kidogo na majimbo mengine ya Nigeria, ambayo yanaongozwa na Magavana waliochaguliwa, kumbe Eneo la Mji Mkuu wa Muungano na Utawala linaongozwa na waziri aliyechaguliwa na Rais.
Remove ads
Viungo vya nje
- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 15 Aprili 2010 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Federal Capital Territory, Nigeria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads