Eata

From Wikipedia, the free encyclopedia

Eata
Remove ads

Eata (620 hivi - Hexham, Northumbria, leo nchini Uingereza, 26 Oktoba 686) alikuwa abati, halafu pia askofu wa mji huo miaka mitatu, baada ya kuongoza monasteri na makanisa mbalimbali, hasa jimbo la Lindisfarne[1], kwa upole na unyofu mkubwa[2], kama alivyosimulia mwanahistoria Beda Mheshimiwa[3].

Thumb
Mt. Eata katikati ya watakatifu maaskofu Wasaksoni wengine.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake, 26 Oktoba.[4]

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads