Eklesio
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Eklesio (karne ya 5 - Ravenna, Emilia-Romagna, Italia, 27 Julai 532/533) alikuwa askofu wa 23 wa mji huo wa Italia Kaskazini kuanzia mwaka 521 hadi kifo chake.

Alimuunga mkono Papa Yohane I katika kuvumilia ukatili wa mfalme Theodoriki Mkuu bila kubadili msimamo dhidi ya Waario[1].
Hatimaye alibaki peke yake akastawisha tena jimbo lake [2][3][4].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads