Eldrado
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Eldrado, O.S.B. (Ambel, Ufaransa, 781 - Novalesa, Piemonte, 844) alikuwa abati wa monasteri ya Novalesa ambayo chini yake ilifikia kilele cha ustawi wake.

Mpenzi wa liturujia, alirekebisha taratibu za kusali Zaburi na kujenga makanisa mapya nchini Italia[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads