Engelbert wa Cologne
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Engelbert wa Cologne (pia: Engelbert II of Berg; Schloss Burg, 1185/1186 – Gevelsberg, karibu na Schwelm, 7 Novemba 1225) alikuwa askofu mkuu wa Cologne, Ujerumani, ambaye alijihusisha sana na mambo ya siasa akiwa pia mtawala wa sehemu ya nchi.

Kisha kutetea haki na uhuru wa Kanisa kwa nguvu zote, hatimaye aliuawa na ndugu yake wa ukoo[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads