Eustokia Calafato

From Wikipedia, the free encyclopedia

Eustokia Calafato
Remove ads

Eustokia Smeralda Calafato wa Messina, Italia (25 Machi 1434 - 20 Januari 1485).

Thumb
Eustokia Calafato katika mchoro unaotunzwa huko Vatikano.

Alikuwa mmonaki, halafu abesi katika Shirika la Mtakatifu Klara ambaye alijitahidi kwa ari sana kurudisha nidhamu asili za kitawa na kuhamasisha ufuasi wa Kristo kadiri ya Fransisko wa Asizi [1].

Alizaliwa akafariki katika mji huo. Maiti yake haijaoza.

Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mtakatifu bikira tarehe 11 Juni 1988.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads