Franka
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Franka (kwa Kiitalia: Franca da Vitalta au da Piacenza; Piacenza, leo nchini Italia, 1175 hivi – Pittolo, 25 Aprili 1218) alikuwa bikira wa ukoo bora aliyejiunga na monasteri ya Kibenedikto akawa abesi alipokuwa na umri wa miaka 24 [1].

Baadaye tena alihamia urekebisho wa Citeaux akaanzisha monasteri mbili.
Alikuwa anakesha mbele ya Mungu hata usiku kucha[2].
Alitambuliwa kuwa mtakatifu na Papa Gregori X mnamo Septemba 1273.[3]
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads