Game
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jayceon Terrell Taylor (amezaliwa tar. 29 Novemba 1979) ni rapa na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Game. Game alianza kujipatia umaarufu wake kunako mwaka wa 2005, pale alipotoa albamu yake ya kwanza " the documentary" iliyompatia mafanikio makubwa kabisa.the game pia yupo kwenye kikundi cha west coast ambacho pia wapo wakina snoop dogg na muazilishi wake tupac na imrani mashanga [3][4][5] Albamu ilikwenda kwa jina la The Documentary,na ikaweza kujishindia Tuzo mbili za Grammy ikiwa kama albamu bora ya rap na hip hop kwa mwaka wa 2005. Tangu hapo, akawa anafikiriwa kuwa anarudisha kwa nguvu ule muziki wa hip hop wa West Coast kwa mashindano na majigambo na baadhi ya rapa wengine wa East Coast.
Mbali na kutoa albamu ya kwanza na ya pili na pia kuweza kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard 200 bora, Game amepata kuhusishwa na masuala ya ugomvi na baadhi ya marapa wenzake. Muziki anaofanya ni ule muziki wa kihuni sana ambao mara nyingi unafanywa na kujulikana zao katika mji wa kwao wa huko Compton, California.
Remove ads
Wasifu
Maisha ya awali
game amezaliwa kwa jina la Jayceon Terrell Taylor huko los angeles, california na kukulia compton,california.Alitumia maisha yake mengi kukaa kwenye crip gang eneo ambalo linaitwa Santana Blocc.Ingawa alikulia kwenye jamiii ya bloods.Baada ya kumaliza shule ya secoundary compton mwaka 1999 the game alijiunga na chuo cha washington state kutokana na basketball lakini alifukuzwa shule wakati wa mwaka wa kwanza kutokana na madawa ya kulevyia hapa ndipo akaaanza maisha ya mtaani kwa kuuuza madawa ya kulevyia na pastola.Wakati akiwa na miaka kumi na nane the game alianza kufuata nyayo za kaka yake wa kambo big face 100ambaye alikuwa ni mkumbwa wa kundi lake linaloitwa Cedar Block Pirus.
Remove ads
Maisha binafsi
Muziki
Albamu zake
- 2005: The Documentary
- 2006: Doctor's Advocate
- 2008: L.A.X.
Filamu
Remove ads
Tuzo
- BET Awards
2005, Mwanamiziki bora mpya [alichaguliwa] 2005, mshirikishaji bora wa nyimbo("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 cent [alichaguliwa]
- Grammy Awards
2006, nyimbo bora ya rap ("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 Cent [alichaguliwa] 2006, uigizaji bora wa rap kwenye kundi ("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 Cent [alichaguliwa]
- MTV Video Music Awards
2005,video bora ya rap ("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 Cent [alichaguliwa]
- Ozone Awards
2008, Mwanamuziki bora wa west Coast rap [alishinda] 2007,Albumi bora ya West Coast rap("Doctor's Advocate") [alishinda]
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads