Get Rich or Die Tryin' (album)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Get Rich or Die Tryin' ni albamu ya kwanza ya kibiashara ya msanii/rapa kutoka mjini New York City, 50 Cent. Albamu ilitolewa kupitia studio za Interscope Records. Albamu ilitakiwa itoke mnamo tar. 11 Februari 2003, lakini kwa kufuatia kuvuja kwake na kuibiwa sana kwenye mtandao wa Internet, albamu ikabidi itolewe wiki moja kabla mnamo tar. 4 Februari 2003. Albamu ilitayarishwa na Eminem na Dr. Dre. Single za kutoka katika albamu hii ni pamoja na "In Da Club", "21 Questions", "P.I.M.P.", na "If I Can't".
Remove ads
Orodha ya nyimbo
Remove ads
Chati zake
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads