Hugo wa Cluny
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hugo wa Cluny (pia: Hugo Mkuu au wa Semur; Semur-en-Brionnais, Ufaransa, 13 Mei 1024 – Cluny, 28 Aprili 1109) alikuwa abati wa 4 wa monasteri ya Kibenedikto ya Cluny kwa miaka 61, kuanzia mwaka 1049 hadi kifo chake.

Ni kati ya viongozi muhimu zaidi wa maisha ya kitawa katika Karne za Kati, maarufu kwa sala na huruma kwa wahitaji. Alidumisha nidhamu na kueneza Kanisa[1].
Anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu tangu alipotangazwa na Papa Kalisti II tarehe 6 Januari 1120.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads