Jigawa (jimbo)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jigawa (jimbo)
Remove ads

Jigawa ni jimbo mojawapo la Nigeria. Mji mkuu ni Dutse.

Thumb
Jimbo la Jigawa
Thumb
Mahali pa Jigawa katika Nigeria

Jimbo lina maeneo ya utawala 27 ("Local Government Areas"). Haya ni Auyo, Babura, Biriniwa, Birnin-Kudu, Buji, Dutse, Gagarawa, Garki, Gumel, Guri, Gwaram, Gwiwa, Hadejia, Jahun, Kafin-Hausa, Kuagama, Kazuare, Kiri-Kasama, Kiyawa, Maigatari, Malam-Maduri, Miga, Ringim, Roni, Sule-Tankakar, Taura, Yankwashi.


Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jigawa (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads